MAAZIMIO YA KAZI KISWAHILI KIDATO CHA NNE DOC

Title MAAZIMIO YA KAZI KISWAHILI KIDATO CHA NNE
Author V. Onyango
Pages 65
File Size 500 KB
File Type DOC
Total Downloads 318
Total Views 874

Summary

MAAZIMIO YA KAZI KISWAHILI KIDATO CHA NNE MUHULA WA I 1 1 Kusoma Kinyamkela cha Kufikia mwisho wa funzo,  Kusoma kwa sauti  Chemchemi za (ufahamu) chamchela ya mkala mwanafunzi aweze  Kujadiliana Kiswahili 4 (a) Kusoma kwa  Kuandika Kitabu cha matamshi bora  Kujibu maswali wanafunzi uk 1-3 (b) ...


Description

MAAZIMIO YA KAZI KISWAHILI KIDATO CHA NNE MUHULA WA I 1 1 Kusoma (ufahamu) Kinyamkela cha chamchela ya mkala Kufkia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze (a) Kusoma kwa matamshi bora (b) Kueleza maana ya msamiat na kutunga sentensi (c) Kutaja maadilikatka ufahamu (d) Kujibu maswali kwa usahihi Kusoma kwa saut Kujadiliana Kuandika Kujibu maswali Chemchemi za Kiswahili 4 Kitabu cha wanafunzi uk 1-3 Mwongozo wa mwalimu uk 1-2 Kamusi ya Kiswahili Kamusi ya methali Kamusi ya misemo na nahua (K.W wamitla) 2 Kusikiliza na kuzungumza Sifa bainifu za fasihi simulizi na andishi Kufkia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze (a) kueleza maana ya fasihi simulizi (b) Kutaja sifa bainifu za tanzu hizi mbili (c) Kutaja mifano za fasihi simulizi na andishi Kudodoso Kueleza Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Chemchemi za Kiswahili 4 Kitabu cha wanafunzi uk 4-5 Mwongozo wa mwalimu uk 2-3 Kamusi ya fasihi simulizi kwa shule za sekondari Kamusi ya fasihi Darubini ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 31 Mwongozo wa mwalimu uk 22 3 Saruf na nomino Kufkia mwisho wa funzo, Kueleza Chemchemi za...


Similar Free PDFs