ALL oef + (proef)examen PDF

Title ALL oef + (proef)examen
Course Swahili II
Institution Universiteit Gent
Pages 25
File Size 483 KB
File Type PDF
Total Downloads 38
Total Views 131

Summary

Download ALL oef + (proef)examen PDF


Description

Kauli ya kutendana

1. mimi / wewe –gomba a. Mimi na wewe tunagombana. b. Mimi ninagombana na wewe. c. Mimi ninagombana nawe. 2. Daudi / Yusufu –samehe a. Daudi na Yusufu wanasameheana. b. Daudi anasameheana na Yusufu. c. Daudi anasameheana naye. 3. wazazi / watoto –saidia a. Wazazi na watoto wanasaidiana. b. Wazazi wanasaidiana na watoto. c. Wazazi wanasaidiana nao. 4. wageni / mwenyeji –uliza maswali a. Wageni na mwenyeji wanaulizana maswali. b. Wageni wanaulizana na mwenyeji. c. Wageni wanaulizana naye. 5. Jan / Lies –sumbua a. Jan na Lies wanasumbuana. b. Jan anasumbuana na Lies. c. Jan anasumbuana naye. 6. mume / mke –tenga a. Mume na mke wanatengana. b. Mume anatengana na mke. c. Mume anategana naye.

7. wanafunzi wa mwaka wa kwanza / wanafunzi wa mwaka wa pili – shindana a. Wanafunzi wa mwaka wa kwanza na wanafunzi wa mwaka wa pili wanashindanana. b. Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanashindanana na wanafunzi wa mwaka wa pili. c. Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanashindanana nao. 8. Piet/mchumba wake –pata a. Piet na mchumba wake wanapatana. b. Piet anapatana na mchumba wake. c. Piet anapatana naye. 9. walimu / wanafunzi –kuta a. Walimu na wanafunzi wanakutana. b. Walimu wanakutana na wanafunzi. c. Walimu wanakutana nao. 10. Yusufu / Mariamu –oa a. Yusufu na Mariamu wanaoana. b. Yusufu anaoana na Mariamu. c. Yusufu anaoana naye.

1. Onderweg kwamen zij iemand tegen die Simon heette. Njiani walimkutana na mtu aitwaye/aliyeitwa/jina lake Simon. 2. Wij begonnen ons af te vragen wie onder ons de waarheid niet gezegd had. Sisi tulianza kujiuliza/kuulizana nani kati yetu hakusema ukweli. 3. Zij kwamen overeen haar geld te betalen. Walipatana kumlipa pesa. 4. De politie vocht met de terroristen (magaidi). Polisi walipigana na magaidi. 5. Hij lijkt niet op zijn broer. Yeye hafanani na kaka yake/ndugu yake wa kiume. 6. De studenten zeiden tegen elkaar: "Wie is dat mooi meisje?" Wanafunzi waliambiana: “Msichana mzuri yule ni nani?”

7. België grenst aan Nederland en Frankrijk. Ubelgiji inapaka na na Uholanzi na Ufaransa. 8. Zij verdeelden al het geld onder mekaar. Waligawana pesa zote. 9. Heeft hij zijn vrouw verlaten? Je, ametengana na mke wake? 10. Zij gaan trouwen (met elkaar). Maar houden zij wel veel van elkaar? Wataoana. Lakini wanapendana sana? Verleden en toekomst 1. Zij zullen geen woord zeggen. Hawatasema neno. 2. Hun woorden kwamen niet overeen. Maneno yao hayakupatana. 3. Hij zal jullie nooit in de steek laten. Hatawaacha kamwe. 4. Alles zal voorbijgaan. Vitu vyote vitapita. 5. Ik zal jullie die geheimen niet zeggen. Sitawaambia siri hizo. 6. Zij kwamen om hem mee te nemen. Walikuja kumchukua. 7. De studenten kenden die zaak niet. Wanafunzi hawakujua kesi hii. 8. Zij wou niet dat haar kinderen lawaai maakten. Hakutaka watoto wake wafanye kelele. 9. Zij zag me niet. Hakuniona. 10. Wij hadden honger en hadden geen voedsel. Tulikuwa na njaa na hatukuwa na chakula. 11. Ik woonde gisteren het feestje niet bij. Sikuhudhuria karamu jana. OF: Sikuwapo/sikuwepo karamuni jana 12. We beluisterden vroeger geen taraab. Zamani hatukusikiliza tarabu. 13. De insecten beten ons niet in het bos. Wadudu hawakutuuma msituni. 14. Twee muskietennetten volstonden niet. vyandarua viwili havikutosha. 15. Onze buren kusten elkaar niet in het openbaar. Majirani zetu hawakubusiana hadharani. 16. Weigerde je niet om een tulband te dragen? Je, hukukataa kuvaa kilemba? 17. Het koppige meisje at de bonen niet op. Msichana mkaidi hakula maharagwe. 18. Die klant zal niet meer naar onze winkel komen. Yule mteja hatakuja tena dukani kwetu. 19. 20. 21. 22. 23.

We zullen de houtsnijder geen plank hout geven. Hatutampa mchongaji ubao. Het huis zal morgen niet proper zijn. Nyumba haitakuwa safi kesho. De treinen zullen niet meer te laat zijn. Treni hazitachelewa tena. Jullie zullen elkaar niet ontmoeten in het koffiehuis. Hamtaonana mkahawani. Mijn grote broer zal niet met een charmante vrouw trouwen. Kaka yangu hataoana na mwanamke bashashi. OF: Kaka yangu hatamwoa mwanamke bashashi. Same 1. Kesho sitakuandikia barua pepe. Morgen zal ik jou geen brief schrijven. 2. Jana hatukula ugali kwa maharagwe. Gisteren aten wij geen ugali met bonen. 3. Jioni sitaangalia filamu. Vanavond zal ik geen film bekijken. 4. Jana hawakunywa bia sana. Gisteren dronken wij niet veel bier. 5. Hamtaonana naye kesho. Jullie zullen hem morgen niet ontmoeten. 6. Hataweza kukujibu?

Zal hij jou niet kunnen antwoorden? 7. Hukuweka fedha yako benki? Zette jij je geld niet op de bank? 8. Mwaka jana hatukupanda mlima wa Kilimanjaro. Vorig jaar beklommen wij de Kilimanjaro niet. 9. Sitamaliza kazi hii? Zal ik dit werk niet beëindigen? 10. Hamtasamehewa na mkurugenzi. Jullie zullen niet door de directeur vergeven worden. glossing 1.

Mwaka umekwisha. mu-aka

u-me-ku-ish-a

NP3-year

SP3-PRF-SM-FV

The year has ended. 2.

Tumesoma vizuri sana. tu-me-som-a

vi-zuri

sana

SP1PL-PRF-study-FV

NP8-good

very

We have studied very well. 3.

Walimu wametufundisha mambo mengi. wa-alimu

wa-me-tu-fundish-a

ma-ambo

ma-ingi

NP2-teacher

SP2-PRF-OP1PL-teach-FV

NP6-thing

NP6-many

The teacher has taught us many things. 4.

Tumesoma mambo mazuri kuhusu haki zetu watoto, elimu ya watoto, adabu na heshima. Tu-me-som-a

ma-ambo

SP1PL-PRF-study-FV NP6-thing Ø-elimu

i-a

ma-zuri kuhusu Ø-haki

zi-etu

wa-toto,

NP6-good about NP10-right PP10-our NP2-child,

wa-toto, Ø-adabu

na Ø-heshima.

NP9-education PP9-CONN NP2-child NP9-politeness and NP9-honor We have studied good things about children’s rights, the education of the children, politeness and honour.

5.

Tumejifunza hatari na ubaya wa dawa za kulevya, uchafu wa mazingira na ugonjwa wa Ukimwi. Tu-me-jifunz-a

Ø-hatari

na u-baya

u-a

Ø-dawa

SP1PL-PRF-learn-FV NP9-danger and NP11-bad PP11-CONN NP10-medicine zi-a

ku-levy-a,

u-chafu

u-a

ma-zingira

PP10-CONN NP15-intoxicate-FV

NP11-polution and

PP11-CONN

u-gonjwa

u-a

Ukimwi

NP11-disease

PP11-CONN

na NP6-environment

NP11-aids

We have learned the danger and badness of drugs, the pollution of the environment and the disease of aids. 6.

Tumejua kwamba watu wote wanatutaka tuwe watoto wema, waaminifu wenye adabu na elimu bora. Tu-me-ju-a

kwamba wa-tu

SP1PL-PRF-know-FV that

wa-ote

NP2-man PP2-every

wa-na-tu-tak-a SP2-PRS(.PROG)-OP1PL-want-FV

Tu-w-e

wa-toto

wa-ema

wa-aminifu

wa-enye

Ø-adabu

SP1PL-be-SBJV

NP2-child

NP2-good

NP2-faithful

PP2-with

NP9-politeness and

Ø-elimu

bora

NP9-education

excellent.

na

We know that all the people (everyone) want(s) good and faithful children having politeness and excellent education. 7.

Na tukiona tabia au matendo yote mabaya, tupeleke habari kwa walimu wetu, wazazi au polisi. Na

tu-ki-on-a

Ø-tabia

And

SP1PL-COND-see-FV

NP9-behaviour or

ma-baya au

tu-pelek-e

Ø-habari

au

ma-tendo

ya-o-ya-ote

NP6-deed

PP6-REF-PP6-any/all

kwa wa-alimu

wa-etu

wa-zazi

NP6-bad or

SP1PL-bring-SBJV

NP9-news

with NP2-teacher

PP2-our

NP2-parent

Ø-polisi. NP9-police. And if we see any bad behaviour or deed, we should bring the news to our teacher, parents or the police. 8.

Mambo hayo yote tumejifunza kuanzia darasa la kwanza, la pili mpaka la tatu. Ma-ambo

hV-ya-o

ya-ote

tu-me-jifunz-a

ku-anz-i-a

NP6-thing

DEM-PP6-REF

PP6-all

SP1PL-PRF-learn-FV

NP15-begin-APPL-FV

Ø-darasa

li-a

kwanza

li-a

pili

mpaka

li-a

tatu.

NP5-class

PP5-CONN

first

PP5-CONN

second

until

PP5-CONN

third.

We have learned all those things beginning in the first class, the second until the third. kauli ya kutendea 1. Hij ging naar haar toe en gaf haar een kus. Alimwendea akambusu / akampa busu. 2. Welke hand is de hand om mee te eten? Mkono wa kulia ni gani? 3. Zij keerde zich naar mij en zei : "Luister eens goed naar mij" Alinigeukia akasema: “nisikilize vizuri”. 4. Doe voor haar de deur open, aub. Mfungulie mlango tafadhali. 5. Wie zal er voor ons de vaat doen (-osha vyombo) Nani atatuoshea vyombo? 6. Zij vluchtten weg van de stad, zij vluchtten naar de berg. Walikimbia mji, wakakimbilia mlima(ni). 7. Hier is een stoel om je benen op te leggen. Hapa pana kiti cha kuwekea miguu yako. 8. Zal je me niet vergeten? Zal je me een email schrijven? Je, hutanisahau? Utaniandikia barua pepe? 9. Breng me een biertje en vlug! Niletee bia haraka! 10. Hij had geen medelijden (-ona huruma) met haar? Hakumwonea huruma? - Ongeza ‘applied object’ na utumie kauli ya kutendea

Mama anapiga pasi. --> Mama ananipigia pasi.

(mimi)

1.

Fatima alinunua maembe. Fatima alimnunulia Daudi maembe.

(Daudi)

2.

Wanafunzi wanachukua mzigo. Wanafunzi wanamchukulia mwalimu mzigo.

(mwalimu)

3.

Rafiki zetu atasafisha gari letu. Rafiki zetu atatusafishia gari letu.

(sisi)

4.

Tulihama Mgorogoro na … Tulihama Mgorogoro na tukahamia Arusha.

(Arusha)

5.

Mlezi anakata mkate. Mlezi anawakatia watoto mkate.

(watoto)

6.

Soma hadithi hii. Wasomee wanafunzi hadithi hii.

(wanafunzi)

7.

Alipokea zawadi. Aliwapokelea zawadi.

(nyinyi)

Chagua kitenzi cha kufaa na utumie kauli ya kutendea: kula, kusaga, kushona, kuandika, kuvua, kukata, kufua, kucheza

1.

Tumeona meli ya kuvulia samaki.

2.

Amechana karatasi ya kuandikia barua.

3.

Ninatafuta sabuni ya kufulia nguo.

4.

Mama anataka mashine ya kusagia chakula.

5.

Wamepoteza uzi wa kushonea kitambaa.

6.

Mpe viatu vyako vya kuchezea mpira.

7.

Nimejikata kwa kisu cha kukatia mkate.

8.

Nitakwenda kwenye behewa la kulia chakula. kauli ya kutendwa Tafsiri kwa Kiswahili ukitumia kauli ya kutendwa

1. Zij werd door haar man verlaten. Aliachwa na mume wake/mumewe. 2. Alle oefeningen zijn door de lesgever verbeterd (-sahihisha)? Mazoezi yote yamesahihishwa na mwalimu. 3. De wijn werd met veel water gemengd. Mvinyo ulichanganywa na/kwa maji mengi. 4. Veel toeristen zullen door de terroristen gedood worden. Watalii wengi watauawa na magaidi. 5. Aan haar werden veel geschenken gegeven. Alipewa zawadi nyingi. 6. Hoe wordt dit dorp genoemd door de mensen? Kijiji hiki kinaitwaje na watu? 7. De vluchtelingen (mkimbizi 1/2) konden niet gered (-okoa) worden. Wakimbizi hawakuweza kuokolewa. 8. Doe je ogen open opdat je niet door die dieven bestolen wordt. Fungua macho yako ili usiibiwe na wezi wale. 9. De kinderen werden door hun ouders naar de stad gestuurd om voor hen brood te kopen. Watoto walitumwa mjini na wazazi wao kwa kuwanunulia mkate. 10. De ezel werd door de boer aan de boom vastgebonden. Punda alifungiwa mtini na mkulima.

wazazi wanawapenda watoto --> watoto wanapendwa na wazazi nitakupigia simu --> utapigiwa simu nami Nilikupa kitabu. Ulipewa kitabu nami. Mwalimu aliniita ghafla. Niliitwa ghafla na mwalimu. Mwanafunzi yule aliandika karatasi sita ndefu. Karatasi sita ndefu ziliandikwa na mwanafunzi yule. Watoto wameimba nyimbo nyingi. Nyimbo nyingi zimeimbwa na watoto. Baamedi atatutayarishia vinywaji. Tutatayarishiwa vinywaji na baamedi. Kesho rafiki watanitembelea. Kesho nitatembelewa na rafiki. (Ninataka) unikumbatie. Ninataka nikumbatiwe nawe. Polisi wameshika wezi wale. Wezi wale wameshikwa na polisi. Mama alinunua matunda sokoni. Matunda yalinunuliwa sokoni na mama. Nitawafanyia nyinyi mpango wa kusoma Afrika. Mtafanyiwa nyinyi mpango wa kusoma Afrika na mimi/nami. Probeer dit stukje uit de roman van de Tanzaniaanse schrijver Kezilahabi te halen en zoek alle passieve en/of applicatieve werkwoorden en glos ze correct. Baada ya majuma mawili Tegemea alipelekwa shambani kulima. Shamba lenyewe lilikuwa la mihogo. Kabenga alilima bila kumngojea na bila kumsaidia. Mwishowe Tegemea alisema kwa hasira, “Matuta haya yote umemwachia nani?” Tegemea aliweka jembe chini na kukaa. “Umeolewa ama hukuolewa?” Wewe sasa ni mke wangu unafanya nitakavyo! Unakaa chini?” alikemea Kabenga. “Mimi siwezi kulima! Kama ni chakula mtaninyima!” Tegemea alijibu. “Utalima!” “Mimi nimesema siwezi!” “Nimesema utalima na utalima!” “Kama mambo ni hivi mimi nakwenda nyumbani!” Tegemea aliweka jembe lake begani, akatembea kuelekea nyumbani. Kabenga alimfuata. Alipomkaribia alimpiga makofi bila kusema lo lote. Tegemea alijaribu kujikinga kwa mikono. Na hili ndilo lilikuwa kosa lake kubwa. Alishikwa mara moja na kutupwa chini kama gunia, miguu juu. Makofi yalimlilia kichwani.

“Unanikingia ngumi mimi!” Kabenga alisema kwa sauti. “Bwana’ngu, umeniua!” Tegemea alilia. ‘mijn meester, jij gaat mij vermoorden! “Utarudia?” ‘zal je terugkeren?’ “Sirudii, bwana’ngu’ ‘ik keer niet terug, mijn meester’ “Haya, nenda nymbani! Lakini kesho utalima!” ‘deze, ga naar huis! Maar morgen zal je het land bewerken! 1. Kathy anamfanya Leo aamke, kwa hiyo Kathy anamwamsha Leo. 2. Subira anamfanya mwalimu akumbuke kuchukua vitabu, kwa hiyo anamkumbusha kuchukua vitabu. 3. Leo anamfanya Subira alipe, kwa hiyo anamlipisha. 4. Hawa anafanya gari liende, kwa hiyo anaendesha gari. 5. TV inamfanya Subira asahau darasa, kwa hiyo TV inamsahaulisha darasa. kauli ya kutendesha 1. Doe het licht aan! Washa taa! 2. Kook het water! Chemsha maji! 3. Heb je hen wakker gemaakt? Umewaamsha? 4. De leraar doet de kinderen zingen (dirigeert). Mwalimu anawaimbisha wanafunzi. 5. De clown (5/6) bracht ons aan het lachen. Chale alituchekesha. 6. Toon mij je boek! Nionyeshe kitabu chako. 7. Je werk bevalt me niet. Kazi yako hainipendezi. 8. Leg het kind te slapen! Mlaze mtoto. 9. Ik zal het je uitleggen. Nitakueleza. 10. Woordjes leren is vermoeiend. Kujifunza maneno (mapya) kunachosha. 11. Doe het stof niet opvliegen. Usirushe mavumbi. 12. Doe ik je pijn? Nakuumiza? 13. Heb je mijn boek teruggegeven? Umekirudisha kitabu changu? glossing 1. Kabanda alikuwa mtoto mzuri sana. Kabanda a-li-ku-w-a Kabanda SP1-PST-SM-be-FV 'Kabanda was a very good child.' 2. Alikuwa na tabia njema. a-li-ku-w-a SP1-PST-SM-be-FV 'He had good habits.'

na and

m-toto NP1-child

Ø-tabia NP10-habit

m-zuri NP1-good

sana very

N-ema NP10-good

3. Mtu akimwita "Kabanda!", aliitikia, "Naam!". m-tu a-ki-m-it-a Kabanda NP1-person SP1-COND-OP1-call-FV Kabanda 'If a person called him "Kabanda!", he answered "Yes!".

a-li-itiki-a SP1-PST-answer-FV

4. Alipenda usafi ili asipate magonjwa kama vile kipindupindu. a-li-pend-a u-safi ili a-si-pat-e SP31-PST-love-FV NP11-cleanliness so.that SP1-NEG-get-SBJV

ma-gonjwa NP6-disease

naam yes

kama like

vile ki-pindupindu as NP7-cholera 'He loved cleanliness so that he would not get diseases like cholera.'

5. Alipiga mswaki baada ya kula kitu chochote. a-li-pig-a m-swaki baada i-a SP1-PST-hit-FV NP3-toothbrush after PP9-CONN

ku-l-a NP15-eat-FV

ki-tu NP7-thing

Ki-o-ki-ote PP7-any-PP7-any 'He used the toothbrush after eating anything.' 6. Hakutaka meno yake yaoze kwa sababu ya kutafunatafuna vitu kama mbuzi. ha-ku-tak-a ma-ino ya-ake ya-oz-e kwa Ø-sababu NEG.SP1-PST-want-FV NP6-tooth PP6-his SP6-rot-SBJV with NP9-reason i-a ku-tafun-a-tafun-a vi-tu kama N-buzi PP9-CONN NP15-chew-FV-chew-FV NP8-thing like NP9-goat 'He didn't want his teeth to rot because of chewing things like a goat.' 7. Alioga kila siku ili asipate maradhi ya ngozi kama upele. a-li-og-a kila Ø-siku ili a-si-pat-e SP1-PST-bath-FV every NP9-dayso.that SP1-NEG-get-SBJV

Ø-maradhi NP9-disease

i-a N-gozi kama u-pele PP9-CONN NP9-skin like NP11-rash 'He bathed every day so that he wouldn't get a skin disease like rash.' 8. Shuleni alikuwa na bidii kuliko wanafunzi wote. Ø-shule-ni a-li-ku-w-a na Ø-bidii NP9-school-LOC SP1-PST-SM-be-FV and NP10-energy

kuliko more.than

wa-ote PP2-all 'At school he had more energy than all the students.' 9. Wanafunzi wenzake walimpenda. wa-anafunzi wa-enz-ake NP2-student NP2-fellow-his 'His fellow students loved him.'

wa-li-m-pend-a SP2-PST-OP1-love-FV

10. Walimu walimpenda sana. wa-alimu wa-li-m-pend-a NP2-teacher SP2-PST-OP1-love-FV 'The teachers loved him a lot.'

sana very

11. Wazazi wake walimpenda zaidi. Wa-zaziwa-ake wa-li-m-pend-a NP2-parent PP2-his 'His parents loved him more.'

zaidi SP2-PST-OP 1-love-FV

more

wa-anafunzi NP2-student

12. Lakini baada ya kutembea na watoto wabaya, Kabandana alibadilika akawa mbaya. lakini baada i-a ku-tembe-a na wa-totoKabandana but after PP9-CONN NP15-walk-FV with NP2-child Kabanda a-li-badilik-a a-ka-w-a m-baya SP1-PST-change-FV SP1-SUBS-be-FV NP1-bad 'But after walking with bad children, Kabanda changed and became bad. 13. Siku moja mwalimu alimkuta akichukua kalamu na kifutio katika mkoba wa mwanafunzi mwingine bila ruhusa. Ø-siku Ø-moja m-alimu a-li-m-kut-a NP9-dayNP9-one NP1-teacher SP1-PST-OP1-find-FV a-ki-chucku-a SP1-COND-take-FV

Ø-kalamu NP9-pen

na and

ki-futio katika m-koba NP7-eraser in NP3-bag

u-a m-anafunzi m-ingini bila Ø-ruhusa PP3-CONN NP1-student NP1-other withoutNP9-permission 'One day, the teacher found him when he was taking a pen and an eraser in the bag of another student, without permission. 14. Mwalimu alimwadhibu Kabanda. m-alimu a-li-m-adhibu NP1-teacher SP1-PST-OP1-punish 'The teacher punished Kabanda.'

Kabanda Kabanda

15. Kabanda alilia sana. Kabanda a-li-li-a sana Kabanda SP1-PST-cry-FV very 'Kabanda cried a lot.' 16. Aliomba msamaha na kusema hatarudia tena. a-li-omb-a m-samaha na SP1-PST-ask-FV NP3-forgiveness and

ku-sema NP15-say

ha-ta-rudi-a tena NEG.SP1-FUT-repeat-FV again 'He asked forgiveness and he said that he will never repeat this.' kiambishi rejeshi Mfano "mwaka ujao" --> u-j-a-o "volgend jaar" 1.

Wakati ufikapo unipigie simu. Dat je me telefoneert wanneer je aankomt u-fik-a-po SP2SG-arrive-FV-RCD16

2.

Bila kujua (jambo) atendalo. Zonder te weten wat hij doet. a-tend-a-lo

u- : SP3

-j-: come -a : FV -o : RCd3

SP1-act-FV-RCD5 3.

Niombe (kitu) chochote utakacho. Vraag mij eender wat je wil. u-tak-a-cho SP2SG-want-FV-RCD7

4.

Siku zijazo. De komende dagen. zi-j-a-zo SP10-come-FV-RCD10

5.

Hakuna mtu ajuaye siku au saa. Er is niemand die de dag of het uur kent. a-ju-a-ye SP1-know-FV-RCD...


Similar Free PDFs